Dejan Georgejieviç kuondoka simba sc, Dejan Georgejieviç kaachana na klabu ya simba sc, Dejan Georgejieviç kagoma kuichezea klabu ya simba sc leo,  Dejan Georgejieviç kaomba kuondoka simba sc, Dejan Georgejieviç kavunja mkataba wake na simba sc.

Dejan Georgejieviç kavunja mkataba wake na simba sc.

Mchezaji wa simba sc Dejan Georgejieviç ameamua kuvunja mkataba na klabu yake ya Simba sc, mchezaji huyu anae cheza nafasi ya ushambuliaji katika klabu ya simba amekuwa akizungumzwa sana na watu na amekuwa akipewa dakika chache kuonyesha kiwango chake, mchezaji huyu ameandika taarifa hizi za kuvunja mkataba katika ukrasa wake wa Instagram na amewashukuru mashabiki na viongozi wa simba sc kwa ushirikiano waliouonesha kwake kwa kipindi chote alichoitumikia klabu hio.

Dejan Georgejieviç katika mchezo wa kirafiki wa simba dhidi ya Malindi ilionekana video fupi mtandaoni mchezaji huyu akitaka kugombana na mchezaji mwenzake Okrah na mpaka sasa sababu ya kutaka kugombana haijatolewa.

Mchezaji huyu alikua na mkataba wa miaka miwili na klabu ya simba sc, , na ameifungia klabu hio bao moja licha ya kupata mda mchache, klabu yake ya simba bado haijadhibitisha kuachana na mchezaji huyu mshambuliaji.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi. Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba sc inacheza   mechi zao za nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mnamo 2022, Simba ilikuwa akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi kati ya vilabu vya soka, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ukuaji wa 89% kutoka mwaka uliopita.

Klabu hiyo ni miongoni mwa timu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh Bilioni 6.1 (sawa na dola milioni 5.3) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here