Cesar manzoki ameiaga club yake ya vipers, Manzoki Kuondoka Vipers,Manzoki amaliza mkataba Vipers,Usajili wa Manzoki Simba, Manzoki kujiunga na Simba Sc,CESAR MANZOKI AMEIAGA KLABU YAKE YA VIPERS RASMI

 

CESAR MANZOKI AMEIAGA KLABU YAKE YA VIPERS RASMI

Cesar manzoki ni mzaliwa wa Jamuhuri ya Africa ya kati, alizaliwa October 12 mwaka  1996.

Cesar manzoki ni mchezaji anaecheza nafasi ya ushambuliaji, mchezaji huyu ana urefu wa mita 1.87, pia Cesar manzoki anatumia mguu wa kulia.

Cesar Lobi Manzoki amepita vilabu tofauti tofauti miongoni mwa vilabu hivyo ni viper sc, As vita club, maniema,Darlian professional, Dauphin Noirs.

Cesar manzoki ameandika katika ukurasa wake wa tweeter  kuwa anaishukuru timu ya viper sport club kwa ushirikiano walio uonesha kwake.

Dear venoms, it’s difficult for me to find the right words to say good bye . I will forever cherish the beautiful moments and success during my two years . From the bottom of my heart thank you dad Lawrence Mulindwa, teammates,management, fans and the media .
#OneTeamOneDream

Cesar Lobi Manzoki anahusishwa na kusajiliwa na timu ya simba sport club inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara.

 

Historia ya Simba Sc

Simba Sports Club ni klabu ya soka yenye maskani yake Kariakoo, Dar es Salaam Tanzania.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936, iliyojitenga na Giant nyingine ya Tanzania, Dar Young Africans iliitwa Queens, kwa heshima ya Majesty, Malkia wa Uingereza. Klabu ilikuwa na mabadiliko kadhaa ya majina kutoka Queens hadi Eagles, kisha, Sunderland. Mwaka 1971 waliitwa Simba (Simba) kwa Kiswahili.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi. Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba wakicheza mechi zao za nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mnamo 2022, Simba ilikuwa akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi kati ya vilabu vya soka, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ukuaji wa 89% kutoka mwaka uliopita.

Klabu hiyo ni miongoni mwa timu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh Bilioni 6.1 (sawa na dola milioni 5.3) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.CESAR MANZOKI AMEIAGA KLABU YAKE YA VIPERS RASMI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here