Bondia Hassan Mwakinyo amekataa hajafungiwa, Hassan mwakinyo amegoma hajafungiwa kupambana Uingereza, Hassan Mwakinyo amekataa taarifa ya kufungiwa kupigana Uingereza, Hassan Mwakinyo anapinga hajafungiwa kupigana Uingereza, Bondia Hassan Mwakinyo akanusha kufungiwa.

Bondia Hassan Mwakinyo akanusha kufungiwa.

Hythani Hamza (maarufu kama Hassan Mwakinyo; alizaliwa 15 Machi 1995 mkoani Tanga) ni mtaalamu wa mchezo wa masumbwi na ngumi za kulipwa kutoka nchini Tanzania. Ni mwanamasumbwi wa uzito wa kati. Mpaka mwaka 2018 Mwakinyo alikuwa anashika namba 235 kidunia na namba 1 barani Afrika katika ndondi za uzito wake.

Kwa sasa bondia huyu anashikilia nafasi ya 48 kidunia licha ya kupoteza katika pambano lake la mwisho alilopigana uingereza na bondia black smith.

Amekuwa akijihusisha na mchezo wa masumbwi tangu mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 22. Ana kimo cha futi 5 na inchi 8.

Bondia Hassan Mwakinyo amekanusha taarifa kuhusu kufungiwa na bodi ya ngumi za kulipwa uingereza (BBBC).

Taarifa hii haikuwa na sababu yoyote ambayo inaonesha kosa alilotenda bondia huyo, lakini inasemekana sababu kubwa inaweza kuhusisha pambano lake alilopoteza dhidi ya smith jijini Liverpool uingereza.Bondia Hassan Mwakinyo akanusha kufungiwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here