Bondia Hassan Mwakinyo kutopigana Uingereza, Hassan Mwakinyo afungiwa Uingereza, Bondia Hassan Mwakinyo haruhusiwi kupigana Uingereza, Hassan Mwakinyo hatoweza kupigana Uingereza, Bondia Hassan Mwakinyo Afungiwa kupigana Ngumi Uingereza.

Bondia Hassan Mwakinyo Afungiwa kupigana Ngumi Uingereza.

Hythani Hamza (maarufu kama Hassan Mwakinyo; alizaliwa 15 Machi 1995 mkoani Tanga) ni mtaalamu wa mchezo wa masumbwi na ngumi za kulipwa kutoka nchini Tanzania. Ni mwanamasumbwi wa uzito wa kati. Mpaka mwaka 2018 Mwakinyo alikuwa anashika namba 235 kidunia na namba 1 barani Afrika katika ndondi za uzito wake.

Kwa sasa bondia huyu anashikilia nafasi ya 48 kidunia licha ya kupoteza katika pambano lake la mwisho alilopigana uingereza na bondia black smith.

Amekuwa akijihusisha na mchezo wa masumbwi tangu mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 22. Ana kimo cha futi 5 na inchi 8.

Mwakinyo kafungiwa kupigana Uingereza

Bondia Haythani Hamza maarufu kama Hassan Mwakinyo ambaye ni bondia mkubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla amefungiwa kupigana ngumi Uingereza, kutokana na mujibu wa mtandao wa ngumi za kulipwa (Boxric), bondia huyu amefungiwa na shirika la ngumi za kulipwa la Uingereza (BBBC).

Taarifa hio haikueleza wazi ni sababu ya kumfungia bondia huyu Hassan Mwakinyo, ingawa pambano alilopigana na smith linaweza kuwa chanzo cha bondia huyu kufungiwa kupigana nchini Uingereza.

Licha ya Hassan mwakinyo kufungiwa kucheza ngumi Uingereza haitoweza kumpa athari yoyoye bondia huyu kwani anaweza kushiriki mapambano katika nchi nyingine kwa mujibu wa ngumi za kulipwa.Bondia Hassan Mwakinyo Afungiwa kupigana Ngumi Uingereza

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here