Bernard Morrison kafungiwa mechi tatu NBC premier league, Mchezaji wa Yanga sc Bernard Morisson afungiwa mechi tatu, Tff yamfungia mchzaji wa yanga sc, Benard Morrison afungiwa mechi tatu .

Benard Morrison afungiwa mechi tatu.

Bernard Morrison mchezaji wa klabu ya Yanga sc raia wa Ghana anaecheza ligi ya Tanzania bara NBC premier league, mchezaji huyu kafungiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limefungia Bernard Morrison kutokana na kosa alilofanya la kumkanyaga mchezaji Lusajo Mwaikenda wa klabu ya Azam fc.

Sabamba na kufungiwa mchezaji Bernard Morrison kapewa pia faini ya million moja , bodi ya ligi imetoa taarifa hizi leo September 22 na bodi ya ligi.

Historia ya Bernard Morrisoni

Bernard Morrison (aliyezaliwa 20 Mei 1999) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Ghana ambaye kwa sasa anachezea timu ya Young Africans ya Tanzania katika NBC PREMIER LEAGUE.

  • Mchezaji huyu kabla ya kuichezea klabu ya yanga sc alikua akichezea klabu ya kaizer chief kutoka Afrika kusini, pia amewahi kuchezea klabu ya simba sc kwa mda wa miaka miwili kisha kujiunga na yanga sc kwa Mara nyinginee.

Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika  ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).

Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here