Beki wa Yanga Abdalah Shaibu Ninja ahusishwa kujiunga na klabu ya Dodoma Jiji, Ninja kujiunga na Dodoma Jiji,Abdalah kusajiliwa Dodoma jiji, Abdalah shaibu ninja kuondoka yanga, Abdala Nija kuitumikia klabu ya Dodoma Jiji kwa mkopo.

Beki wa Yanga Shaibu Ninja amusishwa kujiunga na Klabu ya Dodoma Jiji Fc

KUNA asilimia kubwa beki wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ akajiunga na Dodoma Jiji kwa mkopo, kutokana na nafasi finyu ya kucheza ndani ya kikosi cha Wanajangwani.

 

Awali Ninja ilikuwa atolewe kwa mkopo Geita Gold, iliyoshindwa kutimiza moja ya kipengele ilichotakiwa ikifanye, ambacho Dodoma Jiji imekiweza, hivyo ndani ya wiki hii Ninja anaweza akaondoka Yanga.

Taarifa ya chanzo cha ndani inasema klabu ya Dodoma jiji kwa asilimia kubwa imetimiza masharti ya kumchukua kwa mkopo Ninja, ndani ya wiki hii anaweza akajiunga nao.

Ninja ni beki mzuri anahitaji kupata nafasi ya kucheza ili kurejea kwenye makali yake, baada ya kusumbuliwa na majeraha kwa muda mrefu, ambayo yalimfanya akae nje kwa muda mrefu.

Chanzo hicho kilisema tayari kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi alishatengeneza pacha kati ya Shaban Djuma na Dickson Job, wakati mwingine wanacheza Job na Bakari Mwamnyeto ambao wanaonyesha kiwango cha juu.http://Wasomiajira.com

Ninja akitoka akapata uzoefu wa mechi utamrejesha kwenye kujiamini na akafanya kazi yake kama mwanzo, ndio maana Yanga ilimuongeza mkataba ikitambua kipaji chake,kilisema chanzo hicho.

Timu Ya Tanzania Taifa Stars yashindwa kufuzu CHAN

Historia Ya Abdallah Shaibu ‘Ninja’

Beki wa Yanga Shaibu Ninja amusishwa kujiunga na Klabu ya Dodoma Jiji Fc

Abdallah Haji Shaibu (aliyezaliwa 21 Oktoba 1998), anayejulikana kama Abdallah Shaibu Ninja, ni mchezaji wa soka wa Tanzania ambaye anacheza kama mlinzi wa klabu ya Ligi Kuu ya Tanzania, Young Africans SC na timu ya taifa ya Tanzania.

Mchezaji huyu ni mzaliwa wa Zanzibar amewahi kwenda kucheza klabu ya LA GALAX iliyopo America alicheza katika timu hio kwa mda wa miaka miwili na baadae kurudi katika klabu ya Yanga Sc.Beki wa Yanga Shaibu Ninja amusishwa kujiunga na Klabu ya Dodoma Jiji Fc

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here