Barbara atangaza kujiuzulu simba, Barbara Gonzales ajiuzulu kuwa mtendaji mkuu simba, Barbara Gonzalez aachia nafasi ya Utendaji mkuu simba sc,Barbara Gonzalez ajiuzulu Simba sc
Barbara Gonzalez ajiuzulu Simba sc.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barabara Gonzalez ameandika barua ya kujiuzulu kuanzia mwezi Januari mwaka 2023.
Barbara ametaja sababu ni kuipa nafasi bodi kuchagua mtendaji mkuu mpya ya pili ni kujipa nafasi ya kutimiza ndoto na fursa nje ya Simba.
Barbara Jaime Gonzalez (aliyezaliwa 18 Februari 1990) Maarufu kama Barbara Gonzalez ni mtendaji mkuu wa biashara ya michezo kutoka Tanzania na aliteuliwa kuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa klabu ya soka ya Tanzania ya Simba Sport Club.
Barbara Gonzalez ni mzaliwa wa Colombia, Barbara Gonzalez alikulia jijini Dar es Salaam. Alisomea uchumi nchini Marekani, na usimamizi wa maendeleo huko Uingereza. Alipata mafunzo ya kazi katika Umoja wa Mataifa, kabla ya kurejea Tanzania mwaka 2014 na kufanya kazi kama mshauri wa sekta ya umma katika kikundi cha fedha. Mnamo 2016, bilionea Mohammed Dewji alimpa kazi kama mkuu wa Wakfu wake na mkuu wa wafanyikazi. Mwaka wa 2018 alijiunga na bodi ya Simba S.C. mwaka wa 2018. Septemba 2020, akiwa na umri wa miaka 30, alifanywa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa klabu hiyo.