Rasmi media ya Azam TV kuonyesha mchezo wa Al hilal vs Yanga, Mchezo wa Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa na Azam tv,  Azam Tv itaonesha mchezo wa Al Hilal vs Yanga sc, oktoba 16 Azam TV itaonesha mechi Ya Al Hilal vs Yanga, Azam Tv rasmi itaonesha mechi ya Al hilal na Yanga sc.

Azam Tv rasmi itaonesha mechi ya Al hilal na Yanga sc.

Rasmi sasa media ya Azam TV imefikia makubaliano na klabu ya Al Hilal kuonesha mchezo wa mkondo wa pili kati ya Al Hilal na Yanga, mwanzo klabu hii haikuwa ikionesha mchezo wowote wa mechi za nyumbani wala kuruhusu redio yoyote kutangaza matokeo ya mechi walizokua wakicheza nyumbani.

Mchezo huu utakuwa majira ya saa tatu usiku na utaoneshwa katika Chanel ya Azam sport 1 hd,  mchezo huu utachezwa katika dimba la Khortoum nchini Sudan.

Klabu ya Yanga sc inahitaji ushindi wowote ili kuweza kufuzu kushiriki katika hatua ya makundi hii ni baada ya klabu hii kutoa sare ya 1-1 katika uwanja wake wa nyumbani.

Historia ya Yanga sc 

Young Africans Sports Club, pia inajulikana kama Yanga, ni timu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake katika kitongoji cha Jangwani jijini Dar es Salaam. Klabu hiyo imekuwepo tangu 1935, na michezo yao ya nyumbani inafanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Klabu hiyo inajulikana kama “Yanga,” ambayo ina maana ya “Wavulana wadogo.” Wameshinda mataji 28 ya ligi na idadi ya vikombe vya nyumbani, na wamecheza katika mashindano mengi ya CAF Champions League. Mara tano, wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here