Klabu ya Azam Fc yapata kocha, Azam fc imemleta

kocha mpya, Azam Football klabu yamsajili kocha mfaransa, kocha raia wa ufaransa aajiriwa azam football klabu.

Azam Football Club Yasajili kocha.

Azam football club imemsajili kocha mpya ambaye ni raia wa ufaransa , klabu hii imefanya usajili huu baada ya kumfukuza kocha wake mkuu kwa kushindwa kukithi makubaliano ya mkataba.

Denis Lavagne  raia wa ufaransa ndie kocha mkuu wa klabu ya Azam football club, kocha huyu ndie mrithi wa kocha Abduhamid Moalin.

Kocha huyu ni kocha mzuri ambaye ana miliki leseni ya ukocha yaani (UEFA pro Licences) kocha huyu amekuwa na uzoefu katika soka la Afrika, miongoni mwa timu alizowahi kuzifundisha kocha huyu mfaransa ni timu ya taifa ya Cameroon, timu ya Taifa ya Algeria, USM Alger, JS kabyir na Al hilal.

Moja ya mafanikio makubwa ambayo kocha huyu amewahi kuyafikia ni amewahi kufika hatua ya fainali ligi ya mabingwa Afrika msimu wa 2008 akiwa na klabu ya corton sport ya nchini Cameroon na kupoteza fainali hio, pia kocha huyu ameiwezesha timu ya corton sport kutwaa kombe la Cameroon mara nne na timu ya Al hilal mara moja.

  • https://tanzaniatrends.com/klabu-ya-kmc-imeingia-mkataba-wa-udhamini-na-meridian-bet/

Kutokana na ubora huo timu ya Azam football club imefanikiwa kuinasana saini ya kocha huyo na kumtambulisha kama kocha mkuu wa klabu ya Azam footbaTanzania.http://Tanzaniatrends.com

Azam football club ni timu inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara timu hii ni miongoni mwa timu kubwa katika soka la Tanzania timu hii jina lake la utani ni ‘wana rambaramba’, pia timu hii inatumia uwanja wao wa “Azam Complex” uliopo maeneo ya Chamanzi Dar es salaam.

Timu hii ya Azam football club imewahi kuchukua kombe la ligi Tanzania bara na imekuwa ikimaliza nafasi tatu za juu katika ligi hio ya TTanzania.http://Wasomiajira.com

Mmiliki mkuu wa timu ya Azam football club ni Tajiri mkubwa Bakheresa ambaye ndie mmiliki wa kampuni ya Azam na timu hii ndio timu tajiri katika soka la Tanzania.Azam Football Club Yasajili kocha

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here