Ally Mayai Tembele kateuliwa kuwa kaimu mkurugenzi katika idara ya michezo, Ally mayai kawa kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya michezo, Tff yamchagua Ally mayai kama kaimu mkurugenzi idara ya maendeleo ya michezo,Ally was selected as the acting director of sports development, Ally Mayai Kaimu mkurugenzi idara ya maendeleo ya michezo.
Ally Mayai Kaimu mkurugenzi idara ya maendeleo ya michezo.
Ally Mayai Tembele mchezaji wa zamani wa Yanga sc ameteuliwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (Tff) limemteuwa kuwa kaimu mkurugenzi idara ya maendeleo ya michezo.
Ally Mayai Tembele alizaliwa mwaka 1975, mpaka sasa ana miaka 47 na alianza kujihusisha na masuala ya mpira mwaka 2007.
Ally Mayai Tembele ni mchambuzi wa mpira wa miguu na ameajiliwa na kampuni ya Azam tv akichambua michezo mbalimbali ya ligi kuu na ni moja ya wachambuzi bora katika soka letu.
Historia Ya Tff
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania), ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania, ndicho chombo kinachosimamia soka nchini Tanzania. Inasimamia uendeshaji wa mfumo wa ligi ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya kandanda ya Tanzania, na timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania. Ilianzishwa mwaka wa 1945 na imehusishwa na FIFA tangu 1964. Wallace Karia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania kufikia 2017.
Mnamo Januari 2008 Shirikisho la Soka Tanzania kwa ushirikiano na Peter Johnson liliunda Chuo cha Soka Tanzania (TSA), chuo cha kitaifa cha kuendeleza soka na kutoa ufadhili wa elimu kamili kwa wachezaji.