Ally kamwe Afisa habari wa yanga, Ally kamwe kachaguliwa Afisa habari mpya wa yanga sc, Ally kamwe rasmi Afisa habari wa Yanga sc, Ally Kamwe Afisa habari mpya wa klabu ya yanga sc
Ally Kamwe Afisa habari mpya wa klabu ya yanga sc
Klabu ya yanga sc imemtambulisha kijana mtangazaji na mchambuzi wa soka nchini katika media ya Azam tv Ally kamwe kuwa Afisa habari wa klabu hii baada ya Afisa habari wake Hassan Bumbuli kuondoka hivyo rasmi sasa Ally kamwe atakaimu nafasi hii ya Afisa habari.
Yanga sc ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1935, timu hii inashiriki ligi kuu Tanzania bara na ndio timu pekee ambayo imetwaa ubingwa Mara nyingi katika ligi ya Tanzania ikiwa imebeba ubingwa Mara ishirini na nane(28).
Rasmi leo Young Africans SC tumezindua Application ya Mabingwa yenye ubora na maudhui kemkem, historia, taarifa, matukio na takwimu za mambo mbalimbali ya
Makao makuu ya yanga sc yanapatikana Dar es salaam Kariakoo Jangwani, timu hii inatumia uwanja wa Benjamin mkapa kama uwanja wa michezo yao ya nyumbani na imekuwa ikifanya vizuri katika uwanja huo.
Yanga sc imewahi kufiika katika hatua ya mkundi katika ligi ya mabingwa Afrika na kushindwa kuendelea katika hatua inayofuata ya robo fainali.
Yanga sc imetwaa ubingwa mara nyingi na ubingwa tofauti tofauti ya mashindano yanayopatikana Tanzania, baadhi ya ubingwa huo ni ligi ya Tanzania Mara ishirini na nane, pia kombe la shirikisho ASFC Mara tatu, Ngao ya jamii Mara sita na idadi hii ya makombe ndio imefanya timu hii kuwa na idadi kubwa ya mashabiki.
Wapinzani wakubwa wa timu ya Yanga sc ni klabu ya Simba sc ambayo nayo inapatikana kariakoo msimbazi na zinapokutana timu hizi inakuwa ni moja ya mechi kubwa katika ukanda wa Afrika mashaiki.
Klabu hii ya yanga imeingia mkataba na kampuni ya michezo ya kubashiri Sportpesa kama mdhamini mkuu wa timu hio kwa mda wa miaka mitano, pia imaeingia mkataba ya ni kampuni ya GSM mkataba huu unahusisha jezi na unakaa kwa mda wa miaka mitano.