Taarifa kuhusu CEO wa simba sport club, Barbara Gonzalez kuteuliwa na CAF, CEO wa simba sc Barbara Gonzalez kateuliwa na CAF, Taarifa kuhusu Mtendaji mkuu wa simba Barbara Gonzalez, Barbara Gonzalez Kachaguliwa na CAF kama mjumbe

Barbara Gonzalez Kachaguliwa na CAF kama mjumbe.

CEO wa simba Barbara Gonzalez katuliwa na shirikisho la mpira wa miguu la Afrika CAF kama mjumbe wa kamati ya mashindano ya CAF.

Taarifa hii imetolewa Leo na shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) lakini ataendelea kuwa  kama mtendaji mkuu wa CAF licha ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati.

Barbara Jaime Gonzalez (aliyezaliwa 18 Februari 1990) Maarufu kama Barbara Gonzalez ni mtendaji mkuu wa biashara ya michezo kutoka Tanzania na aliteuliwa kuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa klabu ya soka ya Tanzania ya Simba Sport Club.

Barbara Gonzalez ni mzaliwa wa  Colombia, Barbara Gonzalez alikulia jijini Dar es Salaam. Alisomea uchumi nchini Marekani, na usimamizi wa maendeleo huko Uingereza. Alipata mafunzo ya kazi katika Umoja wa Mataifa, kabla ya kurejea Tanzania mwaka 2014 na kufanya kazi kama mshauri wa sekta ya umma katika kikundi cha fedha. Mnamo 2016, bilionea Mohammed Dewji alimpa kazi kama mkuu wa Wakfu wake na mkuu wa wafanyikazi. Mwaka wa 2018 alijiunga na bodi ya Simba S.C. mwaka wa 2018. Septemba 2020, akiwa na umri wa miaka 30, alifanywa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa klabu hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here